Back to home

Visa vya ghasia vimeshuhudiwa eneobunge la Kasipul

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 18, 2025
2h ago
Huku zikiwa zimesalia siku nane kwa uchaguzi ndogo katika eneo bunge la Kasipul, vijana na wadau mbali mbali wametakiwa kudumisha amani wakati huu ambapo kampeni za lala salama zimeshika kasi.