Back to home
Watu 200 wanaugua magonjwa ya mishipa katika kaunti ya Kilifi
video
C
Citizen TV (Youtube)November 18, 2025
5h ago
Maeneo bunge ya Magarini na Kilifi Kaskazini yametajwa kuwa na idadi kubwa ya watu wanaogua maradhi ya mishipa pamoja na Watoto wanaokabiliwa na ugonjwa wa hernia. Kutokana na hali hiyo serikali ya kaunti ya Kilifi kwa ushirikiano na shirika la AMREF wamechukua hatua ya kuwafanyi





