Back to home

Makurutu 10,000 wanatarajiwa kusajiliwa kutoka kote nchini

video
N
NTV Kenya (Youtube)
November 18, 2025
2h ago
Shughuli ya kuwasajili makurutu wa polisi inaendelea katika kaunti mbalimbali nchini, huku maeneo mengine yakishuhudia idadi ndogo ya vijana wanaojitokeza, na mengine yakiwa na mwitikio mkubwa. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Ken