Back to home

Joshua Muimi akamatwa jana akijifanya afisa wa KDF

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 18, 2025
2h ago
Mkenya mmoja amefikishwa mahakamani hii leo kukabiliwa na mashtaka ya kujifanya afisa wa jeshi. Joshua Mutui Muimi amefikishwa kortini baada ya kukamatwa akijifanya kuwa afisa wa KDF na kuendesha shughuli ya usajili wa makurutu wa jeshi