Back to home

Baadhi ya viongozi wa ODM mashinani wataka suluhu

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 18, 2025
1h ago
Viongozi wa ODM Kaskazini mwa Kenya wamewaomba viongozi wa kitaifa kusitisha malumbano na tofauti baina yao na kujituma kuhakikisha chama hicho kimeimarisha mashinani tayari kwa uchaguzi mkuu mwaka 2027