Back to home

Rais Suluhu ashutumiwa na maseneta wa marekani kuhusu ukandamizaji

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 18, 2025
2h ago
Maseneta wa ngazi ya juu wa Kamati ya Mahusiano ya Kigeni wa marekani , Jim Risch na Jeanne Shaheen wameishtumu serikali ya Tanzania kwa kuwakandamiza raia wake walioandamana kupinga uchaguzi uliogubikwa na unyanyasaji wa kisiasa, utekaji nyara, na udanganyifu. Maseneta hao wanas