Back to home
Wananchi wahimizwa kutoa maoni kuhusu matumizi ya fedha Elgeyo Marakwet
video
C
Citizen TV (Youtube)November 19, 2025
4h ago
Serikali ya kaunti ya Elgeyo Marakwet inaendelea na mchakato wa kutafuta maoni kutoka kwa wakazi wa kaunti hiyo kuhusiana na mswada wa fedha wa mwaka wa 2025/2026 katika kaunti hiyo.





