Back to home
Miili 34 imeopolewa kutoka maporomoko ya ardhi Kaunti ya Elgeyo Marakwet
video
C
Citizen TV (Youtube)November 5, 2025
3h ago
Miili ya watu 34 imeopolewa kwenye maporomoko ya ardhi katika eneo la Chesongoch, Kaunti ya Elgeyo Marakwet kufikia sasa.





