Back to home

Katibu katika wizara ya afya Mary Muthoni atoa ametoa wito kwa Wakenya kuzingatia usafi nyumbani,

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 20, 2025
1w ago
Katibu katika wizara ya afya Mary Muthoni ametoa wito kwa wakenya kuzingatia usafi nyumbani, akisema kuwa idadi kubwa ya magonjwa yanatibiwa kwa kuzingatia kanuni za usafi.