Back to home

Katibu wa wizara ya kilimo asambaza miche ya mibuni Kericho

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 17, 2025
3h ago
Katibu katika wizara ya kilimo Paul Rono alizindua kiwanda Cha kahawa cha Kichawir katika eneobunge la Kipkelion Mashariki na kutoa miche ya mibuni kwa wakulima.