Back to home
Wabunge kutoka Kirinyaga: Tutoke serikali twende wapi?
video
N
NTV Kenya (Youtube)November 17, 2025
3h ago
Viongozi wa kaunti ya Kirinyaga wameendelea kushinikiza haja ya umoja katika eneo la Mlima Kenya, wakisisitiza kuwa miradi ya maendeleo inayoendelea katika kaunti na nchi nzima inaweza kustawi tu chini ya mazingira ya utulivu wa kisiasa na ushirikiano thabiti na serikali ya Kenya





