Back to home

Wakazi wa Kapnyamisa wachangisha pesa za kujenga barabara ya Kapnyamisa-Mosoriot

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 17, 2025
3h ago
Kwa siku ya tatu mfululizo, wakazi wa Kapnyamisa katika eneo bunge la Chesumei, Kaunti ya Nandi, wameendelea kuchangisha fedha na kuikarabati barabara ya Kapnyamisa kwenda Mosoriot ambayo imeharibika .