Back to home

Jamii yatakiwa kuwakumbuka watoto yatima Bungoma

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 21, 2025
10h ago
Wakazi wa kaunti ya Bungoma walio na uwezo wa kimapato wamehimizwa kuwakumbuka watoto yatima, ili kuwasaidia kupata malezi bora.