Back to home
Washukiwa wawili wa kutengeneza pombe haramu wanaswa kaunti ya Kitui
video
C
Citizen TV (Youtube)November 21, 2025
1w ago
Mamlaka ya Kitaifa ya kupambana na Pombe na Dawa za Kulevya (NACADA) ikishirikiana na maafisa wa usalama kaunti ya Kitui imewanasa washukiwa wawili wa kutengeneza pombe haramu mjini Kitui.





