Back to home
Je, Rais Ruto alisema ukweli kwenye hotuba yake kwa taifa?
video
N
NTV Kenya (Youtube)November 21, 2025
6h ago
Hotuba ya hali ya taifa ya Rais William Ruto ilivuta macho ya wakenya kote nchini, wengi wakisubiri majibu kuhusu gharama ya maisha, elimu, afya na maendeleo ya nchi. lakini nyuma ya takwimu na kauli zilizotolewa, ukweli mwengine umeibuka ukionyesha madai yaliyo kweli, mengine y



