Back to home

Gor Mahia watwaa tuzo zote mbili za mchezaji na kocha bora wa mwezi katika ligi ya Sportpesa

video
N
NTV Kenya (Youtube)
November 21, 2025
1h ago
Gor Mahia wametwaa tuzo zote mbili za Mchezaji na Kocha Bora wa Mwezi katika Ligi ya SportPesa, baada ya Shariff Musa na Charles Akonnor kutangazwa washindi. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and oth