Back to home
Nairobi United yakamilisha maandalizi kabla ya mechi ya ufunguzi dhidi ya Wydad Casablanca
video
C
Citizen TV (Youtube)November 22, 2025
12h ago
Timu ya Nairobi United imekamilisha maandalizi yake ya mechi ya ufunguzi kwenye mchuano wa shirikisho barani Afrika dhidi ya miamba wa Morocco Wydad Casablanca siku ya jumapili.





