Back to home

Naibu kinara wa Jubilee Fred Matiang’i ashambulia serikali, aibua hofu ya wizi wa kura Nyamira

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 22, 2025
12h ago
Naibu kinara wa chama cha Jubilee Fred Matiang'i ameendeleza mashambulizi kwa serikali akidai kuwa inapanga wizi wa kura katika chaguzi ndogo za wiki ijayo. Matiang'i ambaye amezungumza katika kaunti ya Nyamira amesema upinzani umeweka mikakati ya kuchunga kura hizo