Back to home
Ahmed Hassan apata umaarufu kisiwa cha Amu, ateuliwa balozi wa utalii Lamu
video
C
Citizen TV (Youtube)November 22, 2025
12h ago
Jamaa moja amepata umaarufu katika kisiwa cha amu kwa kutumia mitandao ya kijamii kuelimisha jamii. Ahmed Hassan ameteuliwa balozi wa utalii katika kaunti ya lamu kutokana na juhudi zake za kutoa burudani na hata kuwaajiri wakazi ambao anashirikiana nao mitandaoni.





