Back to home

Wakazi wa Salabwek kaunti ya Narok waandamana kuhusu zahanati mbovu

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 24, 2025
3d ago
Wakazi wa Kijiji cha Salabwek wadi ya Mara eneo bunge la Narok Magharibi wameandamana wakilalamikia hali duni ya zahanati ya eneo hilo.