Back to home
Kandawala na dereva wa lori wajeruhiwa kwenye ajali Bungoma
video
C
Citizen TV (Youtube)November 24, 2025
2h ago
Kandawala wa gari moshi pamoja na dereva wa trela wanauguza majeraha mabaya katika hospitali moja mjini Bungoma baada ya gari moshi na trela kugongana katika eneo la Pamus kwenye barabara kuu ya Bungoma kuelekea Mumias.





