Back to home

Mataifa ya Afrika yasutwa na wanauchumi kwa kutegemea mikopo kutoka nchi za ng'ambo

video
N
NTV Kenya (Youtube)
November 24, 2025
1h ago
Mataifa ya Afrika yamesutwa na wanauchumi kwa kutegemea mikopo kutoka nchi za ng.ambo ili kufanikisha miradi za maendeleo. Wanasema hatua hiyo ni hatari kwa waafrika ambao watalazimika kulipa pesa hizo na viwango vya juu vya riba kwa kutozwa ushuru. Subscribe and watch NTV Keny