Back to home
Mafunzo ya Kirusi yatwaa Uasin Gishu
video
N
NTV Kenya (Youtube)November 24, 2025
2h ago
Shirika moja lisilokuwa la kiserikali kutoka Urusi kwa ushirikiiano na chuo Kikuu Cha Moscow limetia mkataba wa Masomo na chuo cha anuai Cha Ngenyilel Katika Eneo bunge la Turbo Kaunti ya Uasin Gishu ili Kuhamasisha usemi wa kitamaduni na Lugha.
Subscribe and watch NTV Kenya li





