Back to home

Spika wa Seneti Amason Kingi aongoza kampeni Magarini

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 24, 2025
3h ago
Spika wa Seneti Amason Kingi ameongoza kampeni za mgombea wa ODM Harrison Kombe katika uchaguzi mdogo eneobunge la Magarini .