Back to home

Isaac Kalua ateuliwa kuwa mlinzi wa mazingira kwa kutuzwa tuzo la kitengo cha Nation Cadre

video
N
NTV Kenya (Youtube)
November 24, 2025
3w ago
Kinara wa chama cha GTAP na mwanamazingira shupavu Isaac Kalua ameteuliwa kuwa mlinzi wa mazingira kwa kutuzwa tuzo la kitengo cha Nation Cadre ambalo hupewa wakenya ambao wamejizatiti kutunza mazingira Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday
Advertisement