Back to home

Mbeere North: Naibu Rais aonya njama za vurugu

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 24, 2025
7h ago
Kampeni za chaguzi ndogo zinazotarajiwa nchini siku ya alhamisi zimekamilika rasmi hii leo, huku wanasiasa wakifanya mikutano ya mwisho . Huko mbeere North, Naibu Rais Prof. Kithure kindiki amedai njama ya upinzani ya kuvuruga amani. Aidha, wagombea wengine wote pia walikamilisha