Back to home
Magarini: Wagombea wakamilisha kampeni, Alhamisi uchaguzi
video
C
Citizen TV (Youtube)November 24, 2025
5h ago
Katika eneobunge la Magarini, kampeni za uchaguzi mdogo wa eneo hilo pia zimefikia kikomo huku vyama vikiendelea kutia bidii kuwashawishi wapiga kura. Mbunge wa Nyali mohammed Ali aliongoza misururu ya mikutano ya kumpigia debe mgombea wa DCP Stanley Karisa Kenga. Kikosi cha ODM





