Back to home
Kasipul: Kampeni zakamilika, IEBC yasema kila kitu shwari
video
C
Citizen TV (Youtube)November 24, 2025
3h ago
Katika eneobunge la Kasipul kaunti ya Homabay, wagombea kumi kwenye kinyang'anyiro cha ubunge pia wamefanya mikutano ya lala salama kuwashawishi wapigia kura. Mgombea wa ODM Boyd Were na mgombea huru Philip Aroko walikuwa mjini Oyugis IEBC ikisema kila kitu ki tayari kwa alhamisi





