Back to home

Ugunja: Mipango ya uchaguzi mdogo yakamilika, IEBC yahakikishia amani

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 24, 2025
3h ago
Matayarisho ya uchaguzi mdogo wa eneo bunge la Ugunja kaunti ya Siaya yanaendelea kushika kasi, ambapo jumla ya wagombea kumi kumezea mate kiti hicho.