Back to home

Gachagua: IEBC yatatiza Magarini, wadai muingilio wa uchaguzi

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 24, 2025
3h ago
Kinara wa DCP Rigathi Gachagua amelalamikia kile anachosema ni juhudi za tume ya uchaguzi kuingilia uchaguzi mdogo wa magarini kaunti ya Kilifi. Gachagua akimlaumu Naibu mwenyekiti wa IEBC kwa kile alichosema ni kujitia sana kwenye uchaguzi huo wa magarini licha ya kuwa jukumu hi