Back to home

Kenya imeingia nusu fainali kusaka tiketi ya AFCON U-17

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 25, 2025
5d ago
Timu ya taifa ya soka kwa vijana chini ya miaka 17 Junior Stars imefuzu kuingia nusu fainali ya mchuano wa CECAFA kuwania kufuzu kwa AFCON baada ya kuilaza Sudan Kusini mbili bila.