Back to home

Mawakili waomba ICC kuchunguza mauaji ya waandamanaji Tanzania

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 25, 2025
1w ago
Jioni ya leo tunaanza Taarifa zetu kuhusu Tanzania, ambapo makundi ya kimataifa ya mawakili sasa yanaitaka mahakama ya kimataifa ya ICC kufanya uchunguzi huru kuhusu ghasia na mauaji yaliyoshuhudiwa wakati wa uchaguzi mkuu nchini humo. Mashirika haya yakiongozwa na chama cha mawa