Back to home
Ugunja: Polisi waonya dhidi ya machafuko, wakazi wahimizwa kufuata sheria
video
C
Citizen TV (Youtube)November 25, 2025
9h ago
Katika eneobunge la Ugunja, maafisa wa usalama wameonya dhidi ya machafuko wakati wa uchaguzi mdogo, na kuwataka wote wanaoshiriki kuzingatia sheria. Kamanda wa polisi Ugunja Benjoliffe Munuve akisema kuwa maafisa zaidi watashika doria katika eneo hilo kando na wale walioko kweny





