Back to home

Kamishna wa Baringo ahakikishia wakazi usalama katika uchaguzi wa useneta

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 26, 2025
6h ago
Tukiangazia yanayojiri kwenye uchaguzi wa useneta Baringo, kamishna wa kaunti hiyo Stephen Kutwa amewahakikishia wakazi watakaoshiriki uchaguzi wa hapo kesho usalama wao