Back to home

IEBC yahakikishia uchaguzi huru na wa haki Ugunja huku usalama ukiimarishwa

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 26, 2025
4h ago
Katika eneobunge la Ugunja, ambako wakaazi kesho watamchagua mrithi wa waziri Opiyo Wandayi, Naibu mwenyekiti wa IEBC Fahima Abdalla ametoa hakikisho kuwa uchaguzi wa hapo kesho utakuwa wa haki, na kuwataka wakenya wanaohusika kuwajibika. Akizungumza baada ya kukagua shughuli ya