Back to home
Viongozi wa serikali ya Embu watoa madai ya vurugu kutoka upinzani kwenye uchaguzi mdogo kesho
video
C
Citizen TV (Youtube)November 26, 2025
3h ago
Katika eneo bunge la Mbeere North, viongozi wanaoegemea upande wa serikali kaunti ya Embu wakiongozwa na mwenyekiti wa UDA Cecily Mbarire wamedai kuwa viongozi wa upinzani wanapanga kuzua vurugu hapo kesho. Madai haya yakijiri huku usalama ukiimarishwa na maafisa wa polisi wakiwe





