Back to home

Uchaguzi wa mbunge katika eneobunge la Magarini kaunti ya Kilifi

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 27, 2025
4h ago
Shughuli ya upigajikura inaendelea vema katika eneobunge la Magarini kaunti ya Kilifi ambapo wakazi 80,128 wanapigakura kumchagua mbunge mpya baada ya mahakama kubatilisha uchaguzi wa Harrison Kombe.