Back to home
Uchaguzi wa Chemundu-Kapngetuny
video
C
Citizen TV (Youtube)November 27, 2025
10h ago
Licha ya mchakato wa upigaji kura kuendelea kwa amani na bila hitilafu yoyote, idadi ndogo ya wapiga kura imejitokeza katika uchaguzi mdogo wa wadi ya Chemundu-Kapngetuny, Kaunti ya Nandi.





