Back to home

Mwaniaji wa chama cha UDA Sofia ashinda udiwani Chewani

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 28, 2025
2w ago
Mwaniaji wa chama cha UDA wadi ya Chewani katika kaunti ya Tana River Sofia Maro ametangazwa mshindi baada ya kuzoa kura 1,427 dhidi ya mpinzani wake wa karibu Barakatu Guyo wa chama cha Ford-Kenya aliyepata kura 1352.
Advertisement