Back to home

Mpusia ndiye MCA Purko kaunti ya Kajiado

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 28, 2025
2w ago
Viongozi wa chama cha UDA sasa wanadai kuwa chama hicho kina umaarufu mkubwa katika kaunti ya Kajiado baada ya kushinda uchaguzi mdogo wa wadi ya Purko ambao ulikuwa na ushindani mkali kati yao na chama cha DCP.
Advertisement