Back to home

Kaunti ya Kajiado yazindua sheria mpya ya dhuluma za jinsia

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 11, 2025
1d ago
Kaunti ya Kajiado imezindua sheria mpya ya kukabiliana na dhuluma za jinsia. Kajiado ni kaunti ya kwanza kuzindua sheria hiyo inayotarajiwa kupunguza aina zote za dhuluma.
Advertisement