Back to home

Visa vya dhuluma za jinsia vyaongezeka kaunti ya Bungoma

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 2, 2025
3d ago
Kaunti ya Bungoma bado Inashuhudia visa vingi vya dhulma za jinsia kulingana na ripoti za ofisi ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma ODPP ambapo kesi zaidi ya 263 zinaendelea kusikizwa mahakamani.