Back to home
Mila potovu na umasikini zachangia dhuluma za kijinsia katika kaunti ya Busia
video
C
Citizen TV (Youtube)November 11, 2025
2h ago
Mila potovu na ukosefu wa kujitegemea kiuchumi miongoni mwa wanawake ni vyanzo vikuu vya dhuluma za kijinsia na ndoa za utotoni katika jamii za kaunti ya Busia na nchi jirani ya Uganda .Ili kukabili janga la mila potovu na dhuluma za kijinsia katika jamii, maafisa kutoka kwa shir





