Back to home
Vikundi 29 vyapokea jumla ya Sh8.35m kupitia Women Enteprise Fund ili kuinua vikundi vya wanawake
video
N
NTV Kenya (Youtube)November 28, 2025
3h ago
Kama njia mojawapo ya kuinua vikundi vya wanawake mashinani, vikundi 29 kutoka Eneobunge la Mbooni, Kaunti ya Makueni, vimepokea jumla ya KSh 8.35 milioni kupitia Women Enterprise Fund.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news





