Back to home

Chama cha ODM chasherehekea ushindi wake

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 28, 2025
2w ago
Viongozi wa chama cha ODM wameongoza wafuasi wao kusherehekea ushindi katika uchaguzi mdogo wa hapo jana. Mwenyekiti wa ODM Gladys Wanga alitumia fursa hiyo kuhimiza umoja ndani ya chama cha chungwa.
Advertisement