Back to home
Chama cha DCP chawapokea washindi wa chaguzi ndogo
video
C
Citizen TV (Youtube)December 3, 2025
5h ago
Viongozi wa chama cha DCP wanasema chaguzi ndogo zilizopita zilidhihirisha kuwa chama hicho ni cha kitaifa na wala si cha eneo moja. akiwapokea washindi wa viti vya uwakilishi wadi wa chama hicho , kirana wa DCP Rigathi Gachagua ameeleza kuwa muungano wa upinzani umejipanga kushi





