Back to home
Ujenzi wa barabara ya Lironi-Mau Summit kuzinduliwa
video
C
Citizen TV (Youtube)November 28, 2025
2h ago
Rais William Ruto amezindua mradi wa ujenzi wa barabara kuu ya Rironi kuelekea Mau Summit unaotarajiwa kugharimu serikali zaidi ya shilingi bilioni 170. Rais Ruto ametoa hakikisho kwamba barabara hiyo itasuluhisha tatizo la msongamnao wa magari, ajali za kila mara na kuimarisha b




