Back to home

Familia zaidi ya 1,000 zapewa chakula cha msaada Tana River

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 1, 2025
2d ago
Familia zaidi ya elfu moja kutoka wadi za Hirimani, Sala na Madogo kaunti ya Tana River wamepokea msaada wa chakula ili kujikimu wakati huu wanaposhuhudia uhaba wa chakula kutokana na ukame eneo hilo.