Back to home

Mamia ya vijana wakamilisha mafunzo maalum ya biashara chini ya mpango wa Nyota

video
N
NTV Kenya (Youtube)
December 1, 2025
1h ago
Hatua mpya ya kuwezesha vijana imepata mwamko mpya baada ya mamia ya vijana kukamilisha mafunzo maalum ya biashara chini ya mpango wa Nyota katika shule ya upili ya ACK Kiuu, kaunti ya Kiambu. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told