Back to home

Mahakama ya Mombasa yatoa agizo la kukamatwa kwa mkurugenzi wa shirika la reli nchini Phillip Mainga

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 3, 2025
1h ago
Mainga alishtakiwa Kwa kupuuza amri ya mahakama kutokana na ubomoaji wa mali ya mfanyabiashara aliyewekeza eneo la railways. Mahakama hiyo pia imemuamuru inspekta mkuu wa polisi Douglas Kanja kufika mbele yake baada ya kukaidi amri ya kumkamata na kumwasilisha Mainga kortini